Verse 1
sina makosa afande uniwie radhi
nimetoka kuimba
kitambulisho mi sina nimepoteza wallet na
sijachukua nyingine
sijakataa kosa nililofanya ah
sijakataa chini nimeshaketi
sijakataa kitambulisho sina
usiniseti afande usiniseti afande
Chorus
hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
raia analia kilio
hey you, hey you
Verse 2
natambua kwamba hamna kosa, ulilofanya eh
kitambulisho wewe hicho hauna
nikufanyeje
mapato yangu nimadogo, nategemea kidogo
ni kazi yangu ujira wangu
hujakataa kosa ulilofanya
hujakataa chini umeshaketi
hujakataa kitambulisho hana
nitakuseti raia, fuata sheria
Repeat Chorus
Verse 3
umezoea kuchelewa siku mingi
nimekulenga
naona watuzoea
kuanzia leo mi nakuonya, ujichunge
ama nitakuweka ndani
hujakataa kosa ulilofanya eh
onyo kwako ewe raia wee
Repeat Chorus
Статистика страницы на pesni.guru ▼
Просмотров сегодня: 1